Kivumbi cha FDL kuendelea wikiendi hii

Shirikisho la soka Tanzania TFF

Ligi daraja la kwanza inaendelea wikiendi hii kwa michezo 12 kuchezwa katika viwanja mbalimbali, huku timu 3 za juu kutoka katika kila kundi zikipata nafasi ya kupanda Ligi Kuu msimu ujao moja moja.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS