Nyamwea ajiondoa urais wa soka la Kenya FKF Uchaguzi wa viongozi wapya wa shirikisho la soka Kenya (FKF) umechukua mwelekeo mpya baada ya rais anayemaliza muda wake Samuel Nyamweya kujiondoa kwenye kinyang’anyiro hicho. Read more about Nyamwea ajiondoa urais wa soka la Kenya FKF