DAREVA kusambaza makocha mashuleni kukuza vipaji Chama cha pira wa wavu Mkoa wa Dar es salaam DAREVA kimesema, wameridhika na mahudhurio ya washiriki wa kozi ya makocha wa mchezo wa mpira wa wavu japo walitarajia kupata washiriki wengi zaidi. Read more about DAREVA kusambaza makocha mashuleni kukuza vipaji