Yanga kuelekea Mauritius Ijumaa, kucheza Jumamosi
Mabingwa watetezi wa ligi kuu ya soka Tanzania Bara Yanga wanatarajiwa kuondoka Ijumaa ya Februari 12 kuelekea nchini Mauritius tofauti na ilivyopangwa awali mbapo walitakiwa kuondoka hii leo au kesho.

