Mzunguko wa nne kombe la FA kuendelea Februari 26

Ratiba ya michuano ya Kombe la Shirikisho imetolewa leo, ambapo jumla ya timu 16 zinakutana katika hatua hiyo ya 16 bora itakayoanza kutimua vumbi wikiendi ya Februari 26 mpaka Machi Mosi mwaka huu katika viwanja mbalimbali nchini.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS