AT atoa ushauri hali ya Zanzibar
AT, msanii wa muziki anayeiwakilisha Zanzibar vizuri ametoa ya moyoni kuhusiana na hali ya kisiasa inayoendelea upande huo wa Tanzania, akitaka kuundwe kwa tume kutoka Umoja wa Mataifa kusimamia uchaguzi unaotarajiwa kurudia.