Tuimarishe miundombinu tukuze uchumi - Majaliwa
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amewataka watanzania kujikita katika kuimarisha miundombinu ili kukuza uchumi, kwani kuimarika kwa miundombinu ya usafirishaji ni muhimu kwa shughuli mbalimbali mfano kilimo na biashara.