TRA Shinyanga yafunga mgodi wa Almasi
Mamlaka ya Mapato nchini (TRA), Mkoa wa Shinyanga imeufunga mgodi wa El-Hilal Minerials Limited unaochimba Almasi Wilayani Kishapu Mkoani Shinyanga, baada ya kushindwa kulipa kodi ya mapato kiasi cha sh. Milioni 374.
