Barcelona yatuma salamu kwa Arsenal

Shujaa wa Barcelona kwenye mechi ya jana Luis Suarez ambaye alifunga mabao matatu peke yake katika mchezo huo.

Klabu ya soka ya Barcelona jana ilituma salamu kwa wapinzani wao kwenye klabu bingwa ulaya baada ya kufanikiwa kuinyuka Celta De Vigo kwa mabao 6-1, katika mechi za mwendelezo wa ligi kuu nchini Hispania.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS