Tetesi za kutimuliwa kwa Van Gaal zashika kasi.

Kocha mkuu wa Manchester United Luis Van Gaal.

Kocha mkuu wa klabu ya Manchester United Louis Van Gaal huenda akatupiwa virago na nafasi yake kuchukuliwa na Jose Mourinho kabla ya mwisho wa mwezi Februari kwa mujibu wa gazeti la The Sun.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS