Ranieli asema mwamuzi ndiye aliwanyima ushindi.

Kocha wa klabu ya Leicester City Claudio Ranieli

Meneja wa Leicester City Claudio Ranieri anaamini uamuzi wa mwamuzi Martin Atkinson kumtoa Danny Simpson kwa kadi nyekundu katika mechi ya jana waliyopoteza dhidi ya Arsenal kwa bao 2-1 ndio uliosababisha mazingira magumu sana kwa timu yake.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS