Kigwangala asema ataifunga hosptali ya mkoa Njombe
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Khamis Kigwangala ameipa miezi mitatu Hospitali ya Mkoa wa Njombe ya Kibena, kuhakikisha inaboresha huduma zake la sivyo ataifunga.

