Watakaokula rushwa ya ardhi wafukuzwe kazi- Mabula
Serikali imewaagiza wakurugenzi watendaji wa halmashauri zote nchini kuchukua hatua kali ikiwa ni pamoja na kuwafukuza kazi watumishi wa idara ya ardhi ambao wamebainika kujihusisha na vitendo vya rushwa.
