THBUB wakemea mauaji ya binaadamu yanayoendelea TZ
Tume ya Haki za Binaadamu na Utawala Bora (THBUB) inalaani vikali vitendo vya mauaji ya kikatili vinavyoendelea kutokea katika maeneo mbalimbali nchini hususan mikoa ya Kanda ya Ziwa, Mkoa wa Pwani na Dar es Salaam.