Wanariadha wasihitaji matokeo ya haraka - Bayi

Mwanariadha mkongwe nchini ambaye pia ni Katibu Mkuu wa Kamati ya Olimpiki nchini (TOC) Filbert Bayi amewataka, wanariadha wengi chipukizi wa kitanzania wasihitaji matokeo ya haraka katika medani za kimataifa ili kuweza kulinda vipaji vyao.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS