Nashukuru sijapewa skendo ya ushoga - Ferooz FEROOZ Msanii wa kitambo kidogo aliyepata mafanikio na kupotea kwenye game na kusikika ameibukia katika machimbo ya madini amerudi tena kwenye game la bongo fleva chini ya Said Fela. Read more about Nashukuru sijapewa skendo ya ushoga - Ferooz