2015 ulikuwa ni mwaka wa hasara: Abby Dady Mwandaaji wa muziki kutoka Studio za Chedaz Record Abby Dady. Mwandaaji wa muziki kutoka Studio za Chedaz Record, Abby Dady, amefunguka na kudai kuwa mwaka 2015 ulikuwa ni mwaka wake wa kujitangaza na ulikuwa ni mwaka wa hasara kwake. Read more about 2015 ulikuwa ni mwaka wa hasara: Abby Dady