Meda ajikanyaga kuhusu WCB Msanii wa Bongo fleva Meda Msanii ambaye ni shabiki na anatamani sana kufanya kazi na Nyota wa Bongo Fleva Diamond Platinumz amejikanyaga baada ya kuulizwa anajiskiaje kuona lebo ya WCB inazidi kukusanya wasanii lakini yeye wanamsahau. Read more about Meda ajikanyaga kuhusu WCB