Serikali isaidie ufahamu wa msaada wa kisheria Asilimia 70 ya watanzania hawana uelewa kuusiana na kupata msaada wa kisheria, uwepo wa wasaidizi wa kisheria na jinsi gani wanaweza kusaidiwa katika matatizo ya kisheria. Read more about Serikali isaidie ufahamu wa msaada wa kisheria