Prof. Maghembe kuifanyia mageuzi wizara yake
Waziri wa Maliasili na Utalii Prof. Jumanne Maghembe, amesema wizara hiyo imeanza kufanya mageuzi makubwa kwa taaasisi zake kutoka katika mfumo wa uendeshaji wa kiraia na kuwa wa kijeshi ili kudhibiti vitendo vya Kijangili.
