Lewandowski ndani ya rada za Man United
Jose Mourihno kocha mpya wa United anataraji kubisha hodi na kufanya usajili wa mchezaji raia wa Poland Robert Lewandowski ikiwa ni harakati za kukijenga upya kikosi chake na kurejesha heshima ya Old Trafford.