Naibu Spika atoa ya Moyoni,awajibu UKAWA Naibu spika wa Bunge la Jamhuri ya Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson Naibu spika wa Bunge la Jamhuri ya Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson amewataka wabunge wasioridhika na uamuzi wa kiti cha spika kukata rufaa kwenye kamati ya kanuni za Bunge. Read more about Naibu Spika atoa ya Moyoni,awajibu UKAWA