Nitawalinda viongozi wastaafu- Rais Magufuli Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli amesema kwamba serikali itawalinda wastaafu nchini wakiongozwa na viongozi wakuu wa umma ili wawe na heshma yao ndani ya jamii. Read more about Nitawalinda viongozi wastaafu- Rais Magufuli