"Madawa ni jipu ambalo Rais analiacha" - Kalapina Msanii ambaye pia ni mwana harakati wa kupambana na madawa ya kulevya Kalapina, amesema mpaka sasa ingawa wanajitahidi kupambana na matumizi ya madawa hayo, lakini tatizo hilo limezidi kuwa kubwa Read more about "Madawa ni jipu ambalo Rais analiacha" - Kalapina