Rais Kagame kufungua Maonesho ya Sabasaba
Rais wa Rwanda Paul Kagame anatarajiwa kufanya ziara nchini Tanzania julai Mosi mwaka huu ambapo pamoja na mambo mengine, atafungua maonesho ya 40 ya Kimataifa ya Biashara Jijini Dar es Salaam,(DITF),Sabasaba.
