Tusiwatenge waathirika wa Dawa za kulevya-Mhagama
Serikali ya Tanzania imeitaka jamii kutowabagua vijana walioathirka na madawa ya Kulevya, na badala yake ijikite katika kupambana na wasambazaji wa madawa ya kulevya nchini ikiwemo kuwafichua kutoka maeneo wanayoishi.
