Kijiji cha Izumbe walilia Zahanati

Wakazi wa kijiji cha Izumbwe, Kata ya Igale Wilayani Mbeya wamelazimika kukodi jengo ili litumike kama Zahanati baada ya Zahanati ya awali kuteketea kwa moto zaidi ya miezi mitatu iliyopita.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS