Wahitimu 14000 wa kidato cha sita kuripoti JKT

Waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa Dkt. Hussein Mwinyi amesema kwamba wanafunzi 14000 waliohitimu kidato cha sita 2016 watajiunga na la kujenga taifa wiki hii katika kambi ambazo wamepangiwa.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS