Uchaguzi Yanga fomu mwisho Juni 6

Kamati ya Uchaguzi ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), iliyopewa jukumu la kusimamia uchaguzi wa Klabu ya Young Africans imesema mwisho wa kuchukua na kurejesha fomu ni Jumatatu Juni 6, 2016 saa 10:00 jioni.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS