Nchi ipo Salama licha ya changamoto-Masauni

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi Mhandisi Hamad Yusuph Masauni,

Wizara ya Mambo ya Ndani imewahakikishia Watanzania kuwa nchi iko salama licha ya changamoto mbalimbali zinazoendelea ikiwemo matukio ya mauaji pamoja na wimbi la Wahamiaji haramu.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS