Hakuna uchaguzi Mwingine hadi 2020-Dkt. Shein
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, amewaeleza wananchi kisiwani Pemba kuwa Zanzibar hapatakuwa tena na uchaguzi hadi mwaka 2020 na kwa hivi sasa yeye ndie rais aliyechaguliwa kihalali na wananchi.