Rushwa bado tatizo kubwa Mahakamani-Jaji Chande
Jaji Mkuu wa Tanzania Mh. Mohamed Othman Chande amesema tafiti ambazo zimefanywa na taasisi mbili nchini zimeonesha kuwa idara ya mahakama bado inakabiliwa changomoto kubwa ya ukosefu wa nidhamu, huku tatizo la rushwa pia likitajwa kuwa kero