Samatta kuwasili usiku wa leo kujiunga na Stars
Nahodha na Mshambuliaji wa kimataifa wa Timu ya Taifa ya Tanzania Mbwana Ally Samatta anatarajia kuwasili saa tano usiku wa leo kwa ajili ya kujiunga na kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania ikiwa ni maandalizi ya kuvaana na Misri jumamosi ya Juni 4.