Tutalinda Secta ya usafiri wa Anga-Serikali TZ. Serikali ya Tanzania imesema kuwa inatarajia kushuka kwa gharama za usafiri wa anga nchini baada ya serikali kuondoa kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT) katika usafiri wa anga. Read more about Tutalinda Secta ya usafiri wa Anga-Serikali TZ.