Nguli wa zamani wa ngumi Muhammad Ali afariki.
Nguli Bingwa wa zamani wa dunia kwa mchezo wa ngumi za kulipwa uzito wa juu Muhammad Ali amefariki dunia akiwa na umuri wa miaka 74 katika Hospitali ya Phoenix katika jimbo la Arizona ambako alikuwa amelazwa tangu alhamisi.