Nkambaku apiga marufuku ujenzi vyanzo vya maji.
MKUU wa Wilaya ya Arumeru, Wilson Nkambaku amezuia viongozi wa serikali za mitaa wanatoa vibali kwaajili ya ujenzi, kwenye vyanzo vya maji, kuacha mara moja kutoa vibali hivyo ili kudhibiti uharibifu wa mazingira.