Stars yaipeleka Misri AFCON yafa goli mbili Taifa.
Kweli la kuvunda halina ubani. Hi ni baada ya ndoto za timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, kushiriki michuano ya kimataifa kufutika rasmi kufuatia kupoteza mchezo muhimu kabisa dhidi ya Misri uliopigwa katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.