Majaliwa aagiza sukari kuzalishwa kwa 100%, 2020

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Meneja wa Kiwanda cha sukari cha Kagera, Ashuwin Rana baada ya kuwasili kwenye kiwanda cha sukari cha Mtibwa.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amevitaka viwanda vya sukari nchini kuongeza mikakati ya uzalishaji zaidi ili mwaka 2020 Tanzania iwe imefikia kiwango cha kuzalisha asilimia 100 ya mahitaji yake.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS