Nyumba 430,000 zimejengwa kiholela,DSM

Wizara ya ardhi Nyumba na Maendeleo ya Mkazi nchini Tanzania imesema Zaidi ya Nyumba 430,000 ambazo ni zaidi ya asilimia 75 ya nyumba zilizojengwa katika jiji la Dar es Salaam zimejengwa kiholela hali inayotokana na kutozingatiwa kwa sheria

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS