Arusha 'yaitumbua' SACCOS yake kwa ufisadi Daudi Ntibanda, Mkuu wa Mkoa wa Arusha Serikali mkoani Arusha, imeisimamisha kazi bodi ya menejimenti ya chama cha kuweka na kukopa, Kurugenzi Saccos iliyoko chini ya ofisi ya mkuu wa mkoa kwa tuhuma za ufisadi. Read more about Arusha 'yaitumbua' SACCOS yake kwa ufisadi