Ajali ya moto yaua mmoja na kujeruhi, Ukerewe MZA Ahmed Msangi Mtu mmoja amefariki dunia na mwingine kujeruhiwa kufuatia ajali ya moto uliosababishwa na mlipuko wa mafuta ya petrol, wilayani Ukerewe, mkoani Mwanza. Read more about Ajali ya moto yaua mmoja na kujeruhi, Ukerewe MZA