Mwanafunzi UDOM auawa kwa kupigwa na wenzake

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, Lazaro Mambosasa, a

Mwanafunzi wa mwaka wa kwanza, Kitivo cha Sayansi ya Jamii katika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Fredrick Joseph (25), ameuawa kwa kushambuliwa kwa kipigo na watu wanaosadikiwa kuwa ni wanafunzi wenzake wakati akitoka klabu ya pombe (Bar).

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS