Mradi wa maji kufadhiliwa kwa Dola milioni 87

Naibu Waziri Wizara ya Maji Mhandisi Gerson Lwenge

Mradi wa maji unaohudumia vijiji 50 katika halmashauri ya wilaya ya Wanging’ombe uliojengwa miaka zaidi ya 45 iliyopita umetafutiwa ufadhili kwa ajili ya kukarabati miundombinu yake kwa ufadhili wa dola za kimarekani milioni 87 kutoka nchini India.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS