Agizo la Rais Magufuli latekelezwa haraka Igunga

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli alipokuwa ziarani Tabora

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli wakati wa ziara yake mkoani Tabora alitoa maagizo kadhaa kwa watendaji likiwemo agizo la kufunguliwa kwa stendi ya mabasi Igunga ambayo ilikamilika na kuacha kutumiwa kwa miaka 10.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS