TFDA yaanza marekebisho ya sheria ya adhabu
Mkurugenzi mtendaji mamlaka ya udhibiti chakula na dawa TFDA bwana Hiiti Sillo amesema mamlaka hiyo imeanza kufanya marekebisho ya sheria ya adhabu kwa watuhumiwa wa bidhaa bandia ili sheria hizo ziwe kali zaidi na mtu akibainika apewe adhabu kali.

