Polisi yawatia mbaroni waliojiunganishia umeme MZA

Afisa mwandamizi makao makuu ya Tanesco Leni Kiobya akiwaeleza wandishi wa habari kuhusu wizi wa nyaya za umeme zilizokuwa zinafungwa chini

Watu watatu wanashikiliwa na Jeshi la Polisi Wilayani Ilemela kwa tuhuma za kujiunganishia umeme kinyemela kwenye nyumba zao kinyume na utaratibu uliowekwa na TANESCO.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS