Madeni zaidi ya Bill 3 yaitesa bodi mpya ya utalii
Waziri wa maliasili na utalii Prof. Jumanne Magembe ameitaka bodi ya utalii nchini Tanzania TBB kuepuka kuingia mikataba mibovu ambayo imepelekea bodi hiyo kudaiwa kiasi cha shilingi Bilioni 3.7 hivi sasa.

