FSDT kufanya utafiti wa athari za sheria ya VAT
Mfuko wa kuendeleza sekta ya fedha nchini FSDT umesema unakusudia kufanya utafiti kuhusu upatikanaji wa huduma za kifedha, utafiti utakaohusisha pia athari za kiuchumi zinazotokana na maboresho yaliyofanywa kwenye Sheria ya Ongezeko la Thamani VAT.

