Kadi za UDART kupatikana tena Agosti 5
Meneja uhusiano wakala wa usafiri wa haraka(DART) William Katambi amesema marekebisho ya mfumo wakutengeneza kadi maalum zakusafiria kwa magari ya mwendokasi UDART utakamilika baada ya siku mbili na watumiaji watazipata bila usumbufu.

