Mourinho akataa kuweka wazi usajili wa Pobga Huku kukiwa na taarifa za klabu ya Manchester United, kumalizana na Juventus, juu ya kiungo wa timu hiyo ya Italia, Paul Pogba, kocha wa United, Jose Mourinho amekataa kuweka wazi juu ya uhamisho huo. Read more about Mourinho akataa kuweka wazi usajili wa Pobga